Tuesday, November 30, 2010

BINTI NUSA2 IS OUT IN THE SHOPS


THE LONG AWAITED DVD BINTI NUSA 1 AND 2 IS OUT IN THE SHOPS. GET YOUR COPY NOW FROM******************BM SALON-KINONDONI,DIDA CLASSIC BOUTIQUE-KINONDONI,MISH CAFE-TEMEKE,YAMENO SHOP-MTONI AZIZ ALLY,JOHN SHOP-AZIZ ALLY,NATASHA WA MITINDO-YOMBO DOVYA,CASH MONEY-KARIAKOO NEAR AL HARAMAIN SEC AND ALL DVD SHOPS AT KARIAKOO

Wednesday, November 24, 2010

BREAKING NEWS.......BINTI NUSA 2 MADUKANI JUMATATU 29, NOVEMBER

Binti Nusa ni hadithi ya Malaika, msichana kutoka kijijini anayeanza safari ya kwenda mjini kumtafuta kaka yake ili amuendeleze kimasomo. Safarini anakumbana na majanga yanayobadili kabisa malengo yake katika maisha....... sinema hii yenye wasanii mbalimbali wakiwemo wwngine kutoka nje ya Tanzania, imewekwa muziki na Paul Ndunguru na kundi zima la Wahapahapa Band.

Kwa wafanya biashara tumieni namba hizi kwa kuagiza DVD za jumla............................................................................................ 0715541714 - 0718422086



Monday, November 8, 2010

Utengenezaji wa filamu ya Binti Nusa 2





Katika kutengeneza filamu huwa kuna kuwa na hatua kadhaa, Pre-Production, Production, na Post-Production. Katika Pre-Production ndipo hufanyika kazi ya kutayarisha utengenezaji wa filamu, script huandikwa, wasanii hutafutwa, maeneo ambayo picha zitapigwa hutafutwa, kampuni ya kupiga picha hujulikana wakati huu na watendaji wote kwa ujumla , kila kitu kikisha kuwa tayari ndipo, hatua ya pili ya production huanza, ambapo ndio hufanywa kazi ya shooting ya filamu.
Kazi ya shooting ikishakamilika, huanza hatua ya Post Production, ambapo katika hatua hii ndo filamu huanza kufanyiwa kazi katika studio. Kuiedit, kuingiza sauti mbali mbali ili filamu iwe kamili, tayari kwa kusambazwa. BINTI NUSA 2 ipo katika hatua hii kaeni chonjo.

Mahala pengine pazuri pa kupata habari za filamu za Tanzania

Friday, November 5, 2010

The making of Binti Nusa 2 continued

The actors
Hashim Kambi & Kenneth Ambani as Gody
Elizabeth Chijumba... Gody's girlfriend




















Left.....Jaji












Mtanga &Susan Lewis...Binti Nusa Hashim Kambi as Pembe

Party ya kusherehekea ushindi wa Mbunge msanii Capt John Damian Komba

Alhamisi tarehe 5 November 2010, jioni nyumbani kwa Mheshmiwa Mbunge Mteule Capt John Komba, kulikuwa na sherehe ya nguvu ya kufurahia kushinda kwake kwa kishindo katika uchaguzi wa jimbo lake




Toka gazeti la Mwanaspoti

Habari hii imetoka gazeti la Mwanaspoti Mnajimaliza wenyewe

Thursday, November 4, 2010

The making of Binti Nusa 2

This film is on the make. Its a sequel to Binti Nusa 1 which was hit on its own. Binti Nusa 2 has been prepared with better production equipment than Binti nusa 1. As for the story line follow the coming postings...........