Thursday, October 20, 2011

MONALISA KUISHANGAZA TANZANIA NA DUNIA!!!

Msanii maarufu wa filamu hapa nchini anayewika hadi nchi za watu huku akijivunia kuwa muigizaji bora wa kike kipindi flani hivi sasa anakuja kivingine kuikamata Tanzaniana mipaka yake.....unahisi anaandaa filamu mpya bada ya kutamba naBinti Nusa iliyompa tunzo??...au unadhani anaandaa muziki???...mimi na wewe hatufahamu kama ndo ameamua kuacha sanaa ya filamu ili kuishangaza Tanzania au vipi,yeye mwenyewe hakufunguka sana ila alisema kaneno flani hivi nami namnukuu
"coming soooon!!!!!!" hebu tazama hapa akiwa bize nyuma ya camera katika hizo location hapa juzi kati.

hapa mama na mwana...Monalisa akiwa anaandika masuala kadhaa soon baada ya kufika location.




kwa makini kabisa akifuatilia jambo,hapa hata simu ikiita hasikii


"Unaonaje kama ungesogeza kidogo hivi..kidogo tu!!" ananekana akisema mwanadada Monalisa...sijui alikuwa anamwambia nani hata dah!!!
Camera rolling...........ACTION!!!!!!! tuishie hapo jamani,yeye amesma "COMING SOON" basi tusubiri maana kama kawaida huwa haaribu dada huyu....tchaoooooo!!!!!

1 comment: