Wednesday, November 24, 2010

BREAKING NEWS.......BINTI NUSA 2 MADUKANI JUMATATU 29, NOVEMBER

Binti Nusa ni hadithi ya Malaika, msichana kutoka kijijini anayeanza safari ya kwenda mjini kumtafuta kaka yake ili amuendeleze kimasomo. Safarini anakumbana na majanga yanayobadili kabisa malengo yake katika maisha....... sinema hii yenye wasanii mbalimbali wakiwemo wwngine kutoka nje ya Tanzania, imewekwa muziki na Paul Ndunguru na kundi zima la Wahapahapa Band.

Kwa wafanya biashara tumieni namba hizi kwa kuagiza DVD za jumla............................................................................................ 0715541714 - 0718422086



1 comment:

  1. Naitwa Felix naishi nchini Australia, na ni shabiki mkubwa sana wa movies za ki Bongo. Nimepata blog yako na nitaendelea kufuatilia kazi zenu. Ni jambo la kufurahisha sana tukiona mnaendelea kutuburudisha na filamu zenu kwani kazi zenu tunazikubali sana.
    Big up sister.
    Albert
    Western Australia.

    ReplyDelete