Utengenezaji wa filamu ya Binti Nusa 2
Katika kutengeneza filamu huwa kuna kuwa na hatua kadhaa, Pre-Production, Production, na Post-Production. Katika Pre-Production ndipo hufanyika kazi ya kutayarisha utengenezaji wa filamu,
script huandikwa, wasanii hutafutwa, maeneo ambayo picha zitapigwa hutafutwa, kampuni ya kupiga picha hujulikana wakati huu na watendaji wote kwa ujumla , kila kitu kikisha kuwa tayari ndipo, hatua ya pili ya production huanza, ambapo ndio hufanywa kazi ya shooting ya filamu.Kazi ya shooting ikishakamilika, huanz
a hatua ya Post Production, ambapo katika hatua hii ndo filamu huanza
kufanyiwa kazi katika studio. Kuiedit, kuingiza sauti mbali mbali ili filamu iwe kamili, tayari kwa kusambazwa. BINTI NUSA 2 ipo katika hatua hii kaeni chonjo.
No comments:
Post a Comment