
Dah!! kama utani vile mwanadada mashuhuri katika tasnia ya filamu hapa bongo ambaye anatamba mkononi na tuzo yake ya msanii bora wa kike mwaka jana Yvonne Cherryl ali maarufu kama Monalisa pamoja na pacha wake katika tuzo kwa upande wa wanaume Stevene Kanumba,juhudi zao katika sanaa zinazidi kuzaa matunda huku wakipasua anga zaidi kimataifa na sasa wapo nchi iliyojaa vipaji vya sanaa ya maigizo Ghana. Hawajaenda kula bata kama wengi wanavyodhani bali wameenda kikazi zaidi huku wakiiwakilisha vyema afrika mashariki miongoni mwa vichwa vingine kutoka nchi mbalimbali tayari kwa kupakua mzigo wa maana.





monalisa kazini hapa.

hapa ze great naye kazini.
kwa ufupi jamaa wanafanya kweli kwa taarifa zaidi ya nini kinaendelea huko Ghana log in kila siku hapa hapa monalisatzfilms.blogspot.com
No comments:
Post a Comment