Namshukuru sana Mungu,kwa kuniwezesha kusimama tena na kufungua kampuni yangu inayojihusisha na mambo ya filamu.Kuanzia 2011,wadau wangu kaeni tayari kupokea vitu vizuri toka CHERRIE CO.LTDkwa kuanzia tumeanza na BINTI NUSA ambayo pia tumeisambaza wenyewe.Kwangu si mara ya kwanza kuwa na kampuni,japo kuna ups and downs zilizojitokeza.lakini hii najivunia nayo zaidi,Kwani nimekuja kivingine kabisa.
Hongera sana kwa jitihada zako,ila nataka kujua ni kwa nn huku wilayani hamna brunch zenu za kuuza DVD<CD na nk!!maaana huku tunazipata feki nyingi sana hadi zinakuwa hazichezi kwenye dvd driver
Hongera sana kwa jitihada zako,ila nataka kujua ni kwa nn huku wilayani hamna brunch zenu za kuuza DVD<CD na nk!!maaana huku tunazipata feki nyingi sana hadi zinakuwa hazichezi kwenye dvd driver
ReplyDelete